Majeshi ya usalama ya Nigeria yameweka amri ya kutotoka nje baada ya shambulio la bomu katika mji wa Kano ambalo limesababisha vifo vya watu wanane
Mhubiri wa kanisa la Good News International, Paul Mackenzie na wenzake 94 hii leo wanafikishwa katika Mahakama Kuu ya Mombasa nchini Kenya kusomewa mashtaka ya jinai.
Rais wa chama cha waziri mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan amekamatwa leo katika mji wa mashariki wa Lahore, hayo yakiwa ni kwa mujibu wa shirika la habari la eneo hilo, Geo News.
Wafuasi wa waziri mkuu wa zamani wa Pakistan alieko gerezani Imran Khan walikuwa wanaongoza katika matokeo ya uchaguzi wa Pakistan kwa zaidi ya viti 100.