1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.07.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S2 Julai 2020

Makudi hasimu ya Palestina, Hamas na Fatah, hii leo yameonyesha umoja kupitia mkutano wa njia ya video, hatua ambayo ni ya nadra huku wakinuwia kufanya kazi pamoja dhidi ya mipango ya Israel ya kutaka kunyakua maeneo ya Ukingo wa Magharibi// Marekani na Afrika Kusini zimeripoti rekodi mpya ya maambukizi ya kila siku ya virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3ei3p