You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Masuala ya Jamii
Ruka sehemu inayofuata Habari Kuu
Habari Kuu
Mafuriko yasababisha vifo vya zaidi ya watu kumi Nairobi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Habari
Habari
25.04.2024
25 Aprili 2024
Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti Djibouti imepanda
25.04.2024
25 Aprili 2024
Watu milioni 282 duniani walikumbwa na njaa kali mwaka 2023
Ruka sehemu inayofuata Ripoti na Uchambuzi
Ripoti na Uchambuzi
Burkina Faso yasitisha matangazo ya redio ya BBC na VOA
Burkina Faso yasitisha matangazo ya redio ya BBC na VOA
Burkina Faso yasitisha matangazo ya redio ya BBC na VOA kutokana na kutangaza mauaji
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa utalii Tanzania
Benki ya Dunia yasitisha ufadhili wa utalii Tanzania
Baada ya ukosoaji wa wanaharakati, Benki ya Dunia imesitisha ufadhili wa mradi mkubwa wa utalii nchini Tanzania.
Safari ya majaribio ya treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma
Safari ya majaribio ya treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma
Tanzania yafanya majaribio ya kwanza ya treni ya mwendo kasi inayotumia umeme kati ya jiji la Dar es Salaam na Mji Mkuu Dodoma. Mamlaka ya usafiri wa reli TRC inasema itaanza kutoa huduma hiyo kwa ukamilifu kufikia mwezi Julai. #Kurunzi
Bunge la Uingereza laidhinisha kupelekwa wahamiaji Rwanda
Bunge la Uingereza laidhinisha kupelekwa wahamiaji Rwanda
Hii ni sehemu ya majibu ya Waziri Mkuu Sunak kukomesha vitendo vya waomba hifadhi kuingia Uingereza kinyume cha sheria
Tanzania yakamata zaidi ya kilo 700 za dawa za kulevya
Tanzania yakamata zaidi ya kilo 700 za dawa za kulevya
Bandari bubu na ndogo za Dar es Salaam zinatajwa kutumiwa na wafanyabiashara wakubwa kuingiza dawa za kulevya Tanzania.
Ulimwengu waadhimisha siku ya sayari ya dunia
Ulimwengu waadhimisha siku ya sayari ya dunia
Raia mmoja wa Australia ameweka rekodi ya kupanda miti mingi zaidi kwa kipindi cha masaa 24, akipanda miti elfu 30.
Onesha zaidi
Ruka sehemu inayofuata Mtazamo wa kina
Mtazamo wa kina
Msichana Jasiri
Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
Mwanaharakati wa haki za watoto wa mitaani Tanzania
Mwanaharakati wa haki za watoto wa mitaani Tanzania
Kundi la watoto wa mtaani ni kundi ambalo linaendelea kuongezeka kwa kasi huku watoto hawa wakiwa hawana elimu madhubuti kutokana na ukatili wanaokutana nao, lakini juhudi za wanaharakati wa masuala ya kijamii ni zipi katika kuhakikisha kuwa wanalisaidia kundi hili. Jackline Joseph ni mwanaharakati ambaye amejitolea katika kulisaidia watoto katika kuwapatia elimu dhidi ya ukatili.
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya
Chipukizi wa muziki wa kizazi kipya
Precious ni mwanamuziki chipukizi wa kizazi kipya kutoka Tanzania ambaye Uwezo wake wa kutumbuiza katika majukwaa umempa sababu ya kuwa mfano kwa watoto wengine. Anasema baba yake ndiye aliyempa msukumo mkubwa wa kunoa kipaji chake. #msichanajasiri.
Leila Abdul Kheir na vita dhidi ya utoaji mimba holela
Leila Abdul Kheir na vita dhidi ya utoaji mimba holela
Jamii huepuka kuyajadili maswala ya wanawake hasa yanayohusiana na ujauzito na utoaji mimba kwani huchukuliwa kuwa aibu.
Gundua zaidi
Matangazo
Ruka sehemu inayofuata Masuala maalumu na matukio
Masuala maalumu na matukio
DW Kiswahili inapatikana kupitia mtandao wa Instagram
Jielimishe zaidi
Ruka sehemu inayofuata Safari, maisha na zaidi
Safari, maisha na zaidi
Mikopo ya mitandaoni na chungu yake
Matangazo ya mikopo ya mitandaoni huwavutia watu kwasababu ya masharti yake nafuu. Lakini namna ya kudai madeni inatajwa kudhalilisha wadaiwa. Ungana na Florence Majani, katika makala yetu leo.
Fahamu zaidi kuhusu sarafu za kidijitali
Kuna msisimko mkubwa miongoni mwa vijana kuhusu fursa za kazi mtandaoni, zinazojumuisha sarafu za kidijitali, zikiahidi tija ya haraka na malipo makubwa, lakini nyuma ya pazia hili la kuvutia, kuna changamoto kubwa zinazowosubiri. Fathiya Omar anasema kazi za mtandaoni zina faida kubwa lakini pia zina athari zake. Zaidi sikiliza Makala hii ya vijana tugutuke.
Ipi sababu ya vijana kujiingiza katika magenge ya kihalifu?
Kuongezeka kwa magenge ya kihalifu ya vijana katika baadhi ya nchi barani afrika kumezidi kuibua wasiwasi. Makundi hayo ya kihalifu mara nyingi hufanya uporaji na kuwaumiza wananchi. Wengi wanasema hali ngumu ya kiuchumi ndio inachangia vijana kujitumbukiza katika magenge hayo. Sylvia Mwehozi ana mengi katika vijana Mubashara, 77asilimia
Matangazo