1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.09.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S3 Septemba 2019

Timu ya wachunguzi wa makosa ya uhalifu wa kivita ya Umoja wa mataifa imesema vitendo vya ukiukwaji wa kutisha wa haki za binadamu vimekuwa vikifanywa na pande zote zinazohusika katika mgogoro wa Yemen/ Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani amewasili Sudan/ Serikali ya Kenya imetenga takriban nafasi elfu tatu mia sita kwa ajili ya kukuza ujuzi wa vijana wanaotafuta kazi

https://p.dw.com/p/3OxXc