1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.09.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S3 Septemba 2020

Shirika la kudhibiti matumizi ya Silaha za Sumu OPCW limeelezea wasiwasi mkubwa hii leo baada ya Ujerumani kusema kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny alipewa sumu aina ya Novichok// Maoni: Je Ujerumani itabadili msimamo wake dhidi ya Urusi? // Tanzania- Leo chama tawala CCM kilikuwa Shinyanga, siku moja baada ya chama kikuu cha upinzani Chadema kufanya mkutano wake mjini humo.

https://p.dw.com/p/3hxqi