1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.12.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S3 Desemba 2019

Mahojiano kuhusu ripoti ya Amnesty International iliyosema kwamba serikali ya Tanzania imewapokonya raia na mashirika yasiyo ya kiserikali haki ya kufungua kesi kuhusu haki za binaadamu/ Jeshi la Congo latangaza matokeo ya vita dhidi ya waasi wa ADF/ Mvua yasababisha mafuriko, Kenya/ COP25: Joto kali kuathiri zaidi afya ya binaadamu/ NATO yaadhimisha miaka 70 ikiwa kwenye mizozo

https://p.dw.com/p/3UAGz