1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.08.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S4 Agosti 2017

Wanyarwanda wanaendelea kumiminika katika vituo vya kupigia kura hii leo ili kumchagua rais wao kwa miaka mingine saba// Nchini Kenya kampeni za uchaguzi zinakamilika rasmi kesho Jumamosi zitakaposalia saa 48 kabla raia kupiga kura hapo Jumanne// Tanzania- Habari kutoka jijini Dar es Salaam zinasema kuwa Mahakama Kuu imetupilia mbali zuio la wabunge wanane wa kuteuliwa wa Chama cha Wananchi, CUF.

https://p.dw.com/p/2hh6Q