1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.02.2021 - Matangazo ya Jioni

6 Februari 2021

Maelfu ya raia wa Myanmar wameandama leo kupinga mapinduzi ya kijeshi. Rais wa Afrika Kusini ametoa wito kwa Afrika kupatia mikopo yenye masharti nafuu. Kansela Angela Merkel amelisifu vuguvugu la kudai demokrasia nchini Belarus.

https://p.dw.com/p/3ozaB