1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.04.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Aprili 2021

SADC kukutana kuhusu Msumbiji/ TPSF yafurahishwa na mwanzo mpya wa Rais Samia Hassan/ Ethiopia imesema haitozuiwa kujaza maji kwenye bwawa lake kubwa la kuzalisha umeme la Mto Nile, licha ya mvutano unaoendelea kushuhudiwa na nchi zilizo upande wa chini wa mto huo/ Wanajeshi 32 Uturuki wafungwa maisha kwa jaribio la mapinduzi/ Kwanini ulimwengu umewaangusha wanawake kwa kiasi kikubwa?/

https://p.dw.com/p/3rh2c