1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

07.10.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S7 Oktoba 2022

Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Baraza kuu la haki za binadamu la UN limepasisha kumteua mtaalam huru atakaye chunguza rekodi za haki nchini Urusi, ikiwa ni pamoja na ukamataji kiholela, ukandamizaji wa upinzani na kuminywa kwa uhuru wa kujieleza/Wakimbizi wa Ethiopia wapewa hifadhi Marsabit

https://p.dw.com/p/4HueW