1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.04.2021 - Matangazo ya Asubuhi

8 Aprili 2021

Rais wa Iran amesema mazungumzo kuhusu mkataba wa nyuklia ya mjini Vienna yanafungua ukurasa mpya. Viongozi wa Marekani na Jordan wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu kuhusu ushirikiano. Syria imesema makombora ya Israel yamewajeruhi wanajeshi wake wanne.

https://p.dw.com/p/3rhbk