Israel imesema imekifungua tena leo hii kivuko cha mpakani cha Kerem Shalom+++Mafuriko yamesababisha uharibifu kote ulimwenguni. Yameipiga Kenya na Tanzania, yakauzamisha mji wa Dubai, na kulazimisha mamia ya maelfu ya watu kutoka Urusi hadi Uchina, Brazil hadi Somalia kuyahama makaazi yao