1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.06.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S8 Juni 2018

Viongozi wa kundi la nchi 7 tajiri na zilizoendelea kiviwanda G7 umeaanza le nchini Canada// Serikali ya Zimbabwe ya shindwa kutekeleza mageuzi katika sheria ya uchaguzi// Wafugaji jamii ya Masaai walioondolewa katika vijiji vyao mwaka 2014 na maeneo yao kufanywa kuwa sehemu ya hifadhi ya wanyamapori ya Serengeti wameiomba mahakama ya kanda kuizuwia serikali kuwatisha mashahidi wa kesi yao.

https://p.dw.com/p/2zB9X