Shirika la Afya Duniani WHO limesema akiba yake ya mafuta iliyosalia kule Rafah inaweza kufanikisha operesheni zake kusini mwa Gaza kwa siku tatu zijazo pekee+++Msururu mrefu wa malori zaidi ya 700 umeshuhudiwa kuegeshwa katika eneo la barabara ya Nangurukuru na Somanga wilayani Kilwa mkoani Lindi