1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.07.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Julai 2020

Joto la kisiasa katika mikoa ya kanda ya kaskazini mwa Tanzania linaendelea kupamba moto wakati ambapo wanasiasa wanaotaka kuwania nafasi za ubunge katika majimbo ya uchaguzi wakiongezeka// Rais Mpya wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza baraza lake jipya la mawaziri// Kenya na Marekani zimezindua rasmi majadiliano ya mkataba wa biashara.

https://p.dw.com/p/3f45J