1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.05.2020 - Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S10 Mei 2020

Mji mkuu wa Korea Kusini waamuru kufungwa kwa kumbi za starehe kutokana na hofu ya virusi vya corona. Waziri Mkuu mpya wa Iraq ameahidi kuwaachia huru waandamanaji walio kizuizini. Ethiopia imekiri kuidungua ndege ya Kenya mapema wiki hii.

https://p.dw.com/p/3bzXA