1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.06.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S10 Juni 2021

Rais Joe Biden wa Marekani na Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson wanakutana mara ya kwanza+++Mawaziri wa fedha wa Tanzania, Kenya na Uganda leo hii wanawasilisha bajeti kuu za serikali kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021+++Mauwaji yaendelea Congo licha ya sheria ya kijeshi+++UN: Ajira kwa watoto yaongezeka ulimwenguni+++Wahudumu wa malori wamulikwa juu ya utumikishwaji wa watoto Nakuru.

https://p.dw.com/p/3uhdN