1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.01.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S11 Januari 2022

Tanzania: Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari la waandishi wa habari lililokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC) kugongana na gari la abiria katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu/ Upinzani DRC wadai Tshisekedi anaandaa ushindi wa uchaguzi/ Tigray: Watu 17 wameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani/ Wito wa maandamano kupinga vikwazo vya ECOWAS nchini Mali

https://p.dw.com/p/45OaY