1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.10.2019 Matangazo Ya Mchana

SK2 / S02S11 Oktoba 2019

kamati ya Nobel imeamua kumtunukia tuzo yenye hadhi kubwa ya Amani ya Nobel, waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed//Mkutano wa pamoja wa wakuu wa majeshi ya Polisi kati ya Tanzania na Burundi unafanyika mkoani Kigoma magharibi mwa Tanzania kwa lengo la kupanga mikakati ya kudhibiti uhalifu na ugaidi

https://p.dw.com/p/3R8Jd