1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.12.2019 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S11 Desemba 2019

Waziri Mkuu wa Myanmar anatoa ushahidi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu/ Greta Thunberg ahutubia mkutano wa COP25/ Tanzania: Mkutano mkuu wa Chadema pamoja na mabaraza yake unaendelea/ Kampeni za lala salama nchini Uingereza/ Kenya ni taifa lililoekeza na kushinikiza zaidi matumizi ya nishati safi huku serikali kuu ikiendelea kuhimiza matumizi ya gesi badala ya kuni na mafuta ya taa

https://p.dw.com/p/3UayO