Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk amesisitiza kuwa mashambulizi kamili ya mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza kamwe hayapaswi kufanyika. // Watu 17 wajeruhiwa katika mji wa mpakani wa Urusi Belgorod, kufuatia shambulizi la Ukraine // Maafisa wa uokoaji watatizika kufikia maeneo yaliokumbwa na mafuriko nchini Afghanistan