1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.01.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S14 Januari 2021

Raia wa Uganda wamejitokeza kwa wingi kupiga kura zao leo katika uchaguzi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali ambapo rais wa muda mrefu Yoweri Museveni anapambana na mwanamuziki aliyegeuka kuwa mwanasiasa Bobi Wine// Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa Marekani, kuanzishiwa mara mbili mchakato wa kibunge wenye lengo la kumuondoa madarakani.

https://p.dw.com/p/3ntqk