1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.07.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S14 Julai 2020

Mateso, matumizi ya nguvu, utumwa wa ngono: Orodha ya uhalifu , aliofanya Al-Hassan mwaka 2012 katika mji wa kale wa Timbuktu ni ndefu// Utafiti unaonyesha kuwa asilimia 60 ya Wajerumani ndio walio tayari kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid 19// Shilingi ya Kenya imepoteza thamani kulinganisha na dola ya Marekani.

https://p.dw.com/p/3fHfr