1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.10.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S15 Oktoba 2020

Mambo mengine ambayo huangaziwa katika kampeni ni diplomasia, biashara na ushirikiano wa kikanda. Je vyama vya siasa nchini Tanzania vimelipa suala hilo uzito kama sehemu ya ilani zao?// Hii leo ulimwengu unapotambua juhudi za wanawake walio maeneo ya vijijini, mchango wa mwanamke mmoja kutoka eneo la Pokot Mashariki nchini Kenya ni dhahiri hasa katika kipindi hiki kigumu cha ugonjwa wa COVID 19.

https://p.dw.com/p/3jyVP