1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.07.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S16 Julai 2020

Kinyang'anyiro cha kuwania urais nchini Ivory Coast kimechukua mkondo hatari/ Ujerumani- Kansela Angela Merkel amesisitiza Jumanne kwamba hatoingilia mjadala kuhusu nani anayepaswa kuwa mgombea wa vyama ndugu vya siasa za wastani na mrengo wa kulia/ Utafiti uliofanywa kwa wagonjwa wa COVID-19 umebainisha kuwa walipoteza kinga yao dhidi ya magonjwa katika muda wa miezi miwili hadi mitatu ya kupona.

https://p.dw.com/p/3fOpY