1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.09.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S16 Septemba 2021

Afghanistan- Msuguano waongezeka kati ya pande mbili za uongozi wa Taliban+++Mkuu wa kundi linalojiita dola la Kiislamu, ukanda wa jangwa la Sahara Adnan Abu Walid al-Sahrawi ameuwawa+++Marais wa Jumuiya ya ECOWAS kukutana tena Alhamisi kujadili hatua za ziada kufuatia mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea+++Marekani, Uingereza na Australia zazindua muungano wa usalama.

https://p.dw.com/p/40OYs