1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.06.2021 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

17 Juni 2021

Rais wa Marekani na mwenzake wa Urusi wamesema mkutano wao wa mjini Geneva umekuwa wa mafanikio. Umoja wa Ulaya umetangaza kuondoa mafuruku kwa wasafiri kutoka nchi kadhaa ikiwemo Marekani. China imerusha roketi itakayowapeleka wanaanga watatu kwenye kituo chake kipya cha anga za mbali.

https://p.dw.com/p/3v4HI