Wafungwa 15 kutoka jela ya Guantanamo wanahamishiwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu// Rais José Edouardo dos Sanatos wa Angola anapigania tena wadhifa wa mwenyekiti wa chama tawala cha MPLA// Timu nyingi katika mashindano ya olimpiki ya Rio zinategemea wachezaji wa kigeni, ambao hawakuzaliwa katika mataifa wanayoyawakilisha.