1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.11.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Novemba 2019

Kiongozi mkuu wa Iran ameunga mkono uamuzi wa serikali wa kupandisha bei ya mafuta na gesi kwa asili mia 50/ Mchakato wa kibunge unaolenga kumfungulia mashtaka Rais Trump wa Marekani unaingia kwenye hatua yake muhimu wiki hii/ Israel: Mpinzani wa Netanyahu, Benny Gantz amesalia na siku mbili tu za kuunda serikali ya muungano atakayoiongoza kama waziri mkuu

https://p.dw.com/p/3TFdN