1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.01.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S19 Januari 2021

Uganda yaishutumu Marekani kuingilia siasa zake za ndani/ Serikali ya Kenya imeanzisha oparesheni eneo la Kapedo kufuatia msururu wa mashambulizi/ Tanzania: Viongozi wateule wa Magufuli wameelezwa kuwa ni mzigo, hali inayotakwa kuwa ni kumuangusha rais huyo/ Rwanda yawataka wananchi kusalia nyumbani wiki nzima/ Uturuki kuimarisha uhusiano wake na Umoja wa Ulaya

https://p.dw.com/p/3o7ID