1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.01.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Januari 2022

Rais wa Ukraine ameelezea matumaini kuwa hakuna uamuzi wowote kuhusu nchi yake utakaochukuliwa bila kuishirikisha/ UN: Watetezi wa amani wanawake wana hali mbaya kiusalama/ Kenya: Polisi wameanzisha uchunguzi wa kutegua kitendawili cha miili inayotupwa katika Mto Yala> Mahojiano / Hali ya uhaba wa chakula na njaa katika maeneo mbalimbali ya Kenya/ Matajiri waomba kutozwa kodi

https://p.dw.com/p/45nD9