1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.04.2019: Matangazo ya Jioni

Lilian Mtono
19 Aprili 2019

Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo haya ni rais Donald Trump wa Marekani aiponda ripoti ya mshauri maalumu Robert Mueller, akisema ni upuuzi mtupu, rais wa zamani wa Afghanistan Hamid Kharzai aeleza kusikitishwa na kuvunjika kwa mazungumzo ya amani ya Afghanistan, lakini pia vipindi maalumu vya pasaka.

https://p.dw.com/p/3H66A