1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.05.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Mei 2022

Ukraine yawaamuru wanajeshi wa Azovstal kuweka chini silaha+++Suala la ulazima wa mabadiliko ya sheria ya vyombo vya habari nchini Tanzania limechukua sura mpya baada ya kuwasilishwa bungeni+++Ujerumani na Qatar zatiliana saini mkataba wa nishati+++Mabadiliko ya tabianchi ni mojawapo ya maswala yaliyoibuliwa kwenye Kongamano la 9 la Miji ya Bara Afrika huko Kisumu - Kenya.

https://p.dw.com/p/4BeV4