1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.10.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Oktoba 2018

Kinachoendelea kuhusu kuuawa mwandishi habari Jamal Khashoggi/ Takriban wahamiaji haramu 380,000 raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameondoka Angola kufuatia operesheni kubwa inayowalenga walanguzi wa madini/ Trump amesema taifa lake litajiondoa katika makubaliano muhimu ya kihistoria ya kudhibiti silaha za nyuklia yaliyofikiwa kati ya Marekani na Urusi/ Hali tete ya kisualama, Marsabit

https://p.dw.com/p/36zBG