1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.03.2020 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S23 Machi 2020

Juhudi za dharura za kimataifa za kujaribu kupunguza kasi ya kusambaa virusi vya Corona zimeongezeka leo Jumatatu huku mataifa zaidi yakijiunga katika harakati za kuweka sheria kali za kuwazuia watu kutembea mitaani// Burundi hadi wakati huu haijaripoti kisa cha maambukizi ya virusi vya Corona//Ujerumani- Kansela Merkel yuko karantini, lakini hakuna kitu cha kuhofia.

https://p.dw.com/p/3ZvKZ