Pompeo akutana na Mfalme wa Saudia kwa mazungumzo mjini Jeddah/ Watawala wa kijeshi wa Sudan wameutaka Umoja wa Africa na Ethiopia waunganishe juhudi zao na kuratibu muongozo wa kipindi cha mpito nchini humo/ Kenya: Mawaziri watatu wamekanusha madai ya kupanga njama ya kumuua naibu rais William Ruto ili kuzuia azma yake ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao/