1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

25.09.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S25 Septemba 2018

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anatarajiwa kuelezea hali halisi ya ulimwengu hivi sasa wakati leo Jumanne atakapohutubia mkutano wa kila mwaka wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa// Umoja wa Mataifa na watoa misaada wengine wa binafsi wanajaribu kupeleka chakula kwa dharura kwenye eneo la kaskazini mwa Yemen ambapo watu wasio na chakula wameripotiwa kula majani.

https://p.dw.com/p/35SiY