Tanzania leo inaadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioasisiwa Aprili 26 mwaka 1964+++Vikosi vya operesheni ya pamoja ya jeshi la Uganda UPDF na lile la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo FARDC, vimewaua wapiganaji watano wa kundi la waasi la ADF