1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

26.07.2021 Matangazo ya Asubuhi

Sudi Mnette
26 Julai 2021

Mapema leo Spika wa Bunge la Tunisia, Rached Ghannouchi ametoa wito wa raia wa taifa hilo kushiriki maandamano, kwa lengo la kukifikisha kikomo kile alichokiita mapinduzi, baada ya Rais Kais Saied kulizuia bunge na kuivunja serikali.

https://p.dw.com/p/3y2nb