Nchini Tanzania mkutano wa ndani wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Zuberi Kabwe uliokuwa ufanyika Temeke mjini Dar es Salaam umevunjwa na polisi leo //Mwandishi wa habari wa idhaa hii ya kiswahili ya Dw mjini Arusha aliyefariki jumamosi anazikwa leo