1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

27.11.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S27 Novemba 2020

Makali ya janga la COVID-19 yamewafanya baadhi ya wakaazi nchini Kenya kujitoa mhanga kukabiliana na ueneaji wa virusi vya corona kwa kushiriki kuyafukizia maeneo ya umma pamoja na shughuli za kuhamasisha umma// Rais mteule wa Marekani Joe Biden ameanza kufanya uteuzi wa watu mbalimbali watakaoshika nyadhifa tofauti za uwaziri katika serikali yake.

https://p.dw.com/p/3ltoV