1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.03.2020 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S29 Machi 2020

Uhispania na Italia zimeyahimiza mataifa mengine ya Ulaya kusaidia mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Papa Francis ameunga mkono wito wa kusitisha mapigano kote duniani. Uchaguzi wa Bunge uliocheleweshwa imefanyika leo nchini Mali.

https://p.dw.com/p/3aAwj