1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yaliyojiri katika Afrika wiki hii

Saumu Mwasimba
8 Oktoba 2021

Mwanafasihi mzaliwa wa Zanzibar anayeishi Uingereza AbdulRazak Gurna atunukiwa tuzo ya Nobel ya fasihi ya mwaka 2021,Rais Uhuru Kenyatta na wanafamilia yake watajwa kwenye sakata ya kumiliki akaunti za siri Panama-katika kile kinachoitwa nyaraka za Pandora na rais Samia Suluhu aagizwa kodi ya nishati ya mafuta ipunguzwe.Sikiliza Afrika Wiki hii na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/41S7x