1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Adhabu ya kifo yawasubiri waganda 10 nchini China kwa madawa wa kulevya

5 Julai 2007

Serikali ya China imedhamiria kuwanyonga raia 10 wa Uganda waliokamatwa na madawa ya kulevya.

https://p.dw.com/p/CHBb

Waganda hao wakiwemo wanawake watatu walikamtwa mwezi uliopita nchini China wakiwa na zaidi ya kilogram moja na nusu ya madawa hayo ya kulevya.

Zaidi kuhusu kisa hicho anatusimulia Omar Mutasa kutoka Kampala.