1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Kusini yazindua chanjo ya majaribio ya UKIMWI.

1 Desemba 2016

Ripoti yaeleza kuwa huenda ndege iliyoanguka Colombia iliishiwa mafuta, Seneti nchini Colombia limepitisha kwa kauli moja mkataba wa amani nchini humo na Afrika Kusini yazindua chanjo ya majaribio ya UKIMWI.

https://p.dw.com/p/2TaNv