1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika: Madini yachukuliwa, yabakia mashimo

10 Februari 2014

Ingawa bara la Afrika limejaaliwa na utajiri mkubwa wa rasilimali, bara hilo limeendelea kusalia kwenye umasikini wake huku rasilimali hizo zikiwafaidisha wengine nalo likiachwa na mazingira yaliyochafuliwa.

https://p.dw.com/p/1B622
Madini yapo mengi Afrika, lakini umasikini na uchafuzi wa mazingira unazidi.
Madini yapo mengi Afrika, lakini umasikini na uchafuzi wa mazingira unazidi.Picha: Alexander Joe/AFP/GettyImages

Katika makala haya ya Mtu na Mazingira, Sekione Kitojo anaangalia athari za mazingira zitokanazo na uchimbaji madini barani Afrika.

Kusikiliza makala haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sekione Kitojo
Mhariri: Mohammed Khelef