Afrika yasonga mbele

Afrika yasonga mbele ni mfululizo wa makala za video zinazosimulia maisha ya watu wa kipekee kutoka eneo la Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

Tunawaangazia wale wanaoleta mabadiliko kwa kutumia nguvu na ujuzi wao kuziinua jamii zao na bara lao.

1 | 45