1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya –Kipindi 6 – Mdudu mharibifu

16 Machi 2011

Katika kipindi hiki Jimmy anaumwa sana na tutaangalia sababu za kuumwa kwake. Pia tutakueleza jinsi ya kuwa mbali na wadudu kwani kwa kiasi kikubwa maradhi huletwa na wadudu.

https://p.dw.com/p/QpNO