1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Aina ya ugumba kwa wasichana na wanawake

Thelma Mwadzaya MMT25 Machi 2019

Baadhi ya wasichana au wanawake hukumbwa na ugumba, hali inayowaacha wakisononeka maishani mwao. Katika makala ya Afya Yako Thelma Mwadzaya anaangazia aina ya hali inayosababisha ugumba kwa wanawake. Kwa lugha ya kitaalamu, huitwa Mayer-Rokitansky-Kuster-Hauser (MRKH). Je wanaojikuta kuwa na hali hiyo huathirika vipi? Changamoto ni zipi? Na je huweza kusuluhishwa?

https://p.dw.com/p/3FcMl