Al-Sissi ataka suluhisho wakimbizi Afrika

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
Katika siku ya mwisho ya mkutano wa kilele wa mataifa ya Afrika mjini Addis Ababa hapo jana, Al-Sissi aliwaambia viongozi wenzake kwamba wanapaswa kukabiliana na tatizo la wakimbizi, wakimbizi wa ndani na wahamiaji kwa njia jumuishi.

Tufuatilie